Trending

Kilihost Review - Faida na Hasara zake

Kilihost ni kampuni ya hosting ya Tanzania. Ni sehemu bora kabisa kwa ajili ya kununua domain name pamoja na ku host website yako. Kilihost ilianzishwa mwaka 2014 ikiwa na domain names zaidi ya 2500 na website wanazohost ni zaidi ya 1000.
Shea katika mitandao:
kilihost

Kilihost ni kampuni ya hosting ya Tanzania. Ni sehemu bora kabisa kwa ajili ya kununua domain name pamoja na ku host website yako. Kilihost ilianzishwa mwaka 2014 ikiwa na domain names zaidi ya 2500 na website wanazo host ni zaidi ya 1000.

Baadhi ya website maarufu zinazo hostiwa kupitia Kilihost martinlutherschooldodoma.com, entrepreneurs.or.tz, magereza.go.tz na pbzbank.co.tz

Faida/Ubora

  • Uzoefu wa zaidi ya miaka 5
  • Gharama ni nafuu
  • Huduma nzuri kwa wateja
  • Njia nyingi za malipo ikiwemo kwa mitandao ya simu kama MPesa na TigoPesa
  • Urahisi wa ku install script kwa kutumia c panel na Softaculous 
  • Vifurushi vingi kwa ajili ya hosting

Hasara

  • Vifurushi havijaelezewa vya kutosha kuhusu utakachopata ukinunua.

Gharama za Hosting kwa mwaka

Hosting inaanzia Tsh 25,000 kwa mwaka. Kwa kupitia hiyo utapata disk space 50MB, 1GB Bandwidth na DNS and Advanced DNS Manager

Domain Names

Domain names zinazopatikana ni .tz (.co.tz .or.tz .go.tz .ac.tz .ne.tz .sc.tz .hotel.tz .info.tz .me.tz na .tv.tz). Nyingine ni .com .net .org .info .us.com .media na .tv 

Gharama za Domain Names kwa mwaka(Tsh)

.tz - 25,000
.com - 25,000
.net - 35,000
.org - 30,000
Nunua domain name kwa ajili ya website yako sasa

Huduma Nyingine

Huduma wanazotoa ni Web hosting, Reseller hosting, Email hosting na SSL Certificate.

Huduma kwa Wateja

Njia ya kuwasiliana na Kilihost ni kupitia Ticket System inayopatikana katika website yao.

Ofisi yao inapatikana 
Junction of Mtendeni and Street off Morogoro Road, 
Dar Es Salaam, Tanzania

Shea katika mitandao:

Blog

Domain Names

Hosting

Hosting Review

Website

Andika Comment:

Comments 0 :

Acha comment yako hapa