Hosting - Muhimu kwa ajili ya website kuwa mtandaoni
Hosting ni huduma katika mtandao inayowezesha watu binafsi au taasisi kutengeneza website au blog na kuifanya ipatikane katika mtandao yani internet.
Kwa kawaida kampuni zinazotoa huduma ya hosting zinakua na seva ambazo huhifadhi mafaili ya website za wateja wao.

Kampuni nyingi zinahitaji uwe na domain name yani jina kwa ajili ya website yako ili uweze kuhost tovuti hiyo kwao, ila kampuni nyingi za hosting huwa na huduma ya kusajili domain names kwa ajili ya hiyo website yako
Kwa hiyo moja ya vitu vinavyohitajika ili uweze kuiweka website au blog yako katika internet ni kuwa na hosting, domain name na kufahamu jinsi ya kutengeneza website yenyewe (unaweza kutengeneza bila ujuzi au unaweza kumlipa mtu au kampuni ikutengenezee)
Kwa kuwa ni rahisi pia kutengeneza mwenyewe na unaweza ukaanza muda wowote, inabidi ufahamu kampuni bora na zenye unafuu katika huduma ya hosting. Ziangalie katika post hii - Hosting bora Tanzania

Andika Comment:
Comments 0 :
Acha comment yako hapa