Trending

Domain Name - Jina la website au blog

Domain Name ni jina linalotambulisha website au blog fulani. Hutumika kutafuta na kutambulisha tovuti fulani katika mtandao. Mfano wa domain name ni kama google.com au facebook.com.
Shea katika mitandao:
domain name

Domain Name ni jina linalotambulisha website au blog fulani. Jina hilo linaweza kutajwa kama 'domain' kama jinsi watu wengi walivyozoea. Hutumika kutafuta na kutambulisha tovuti fulani katika mtandao. Jina linaweza kuwa na muunganiko wa namba na herufi. Mfano wa domain name ni kama google.com au facebook.com.
Kila domain name hutofautiana na nyingine. Website mbili haziwezi kutumia jina moja.
Domain name au jina la tovuti hupatikana kwa kununuliwa au bure kulingana na mtoa huduma anayehusika. Majina yanayolipiwa ni yale yanayotumika kwa ajili ya biashara na mambo mengine yanayoendana. Mfano ni zile zinazoishia na .com, .org, .net, .co.tz na nyingine nyingi. Kama unahitaji kununua domain name bonyeza HAPA kujua zaidi.
Majina unayoweza kupata bure ni kama .tk, .ml, .ga na subdomains kama .blogspot.com na .wordpress.com
Shea katika mitandao:

Blog

Domain Names

Website

Andika Comment:

Comments 0 :

Acha comment yako hapa