Trending

Extreme Web Technologies Review - Faida na Hasara zake

Kampuni inajiweka katika nafasi ya kwanza kati ya kampuni za hosting Tanzania ukiangalia misheni yao. Wana uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika kazi hii.
Shea katika mitandao:
Extreme Web Technologies


Extreme Web Technologies ni kampuni ya hosting iliyoanzishwa mwaka 2004. Motto ni "Experience Customer happiness with us" wakimaanisha Pata uzoefu wa furaha ya wateja pamoja nasi.
Kampuni inajiweka katika nafasi ya kwanza kati ya kampuni za hosting Tanzania ukiangalia misheni yao. Wana uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika kazi hii.

Faida/Ubora

  • Kampuni inayoongoza katika list ya TZNic ikiwa na domains zaidi ya 3,500
  • Uzoefu wa zaidi ya miaka 10
  • Inaaminiwa na wengi
  • Huduma kwa wateja masaa 24/7
  • Njia nyingi za malipo ikiwemo kwa mitandao ya simu kama MPesa na TigoPesa
  • Uhakika wa kuwa online kwa 99.5%
  • Urahisi wa ku install script kwa kutumia Softaculous 
  • Watakusaidia kuhamisha website yako kutoka sehemu nyingine

Hasara

  • Kifurushi cha chini cha hosting hakikuruhusu kuwa na emails (unaweza kupata kwa kuchagua kifurushi kingine).

Gharama za Hosting kwa mwaka

Hosting inaanzia Tsh 25,000 kwa mwaka. Kwa kupitia hiyo utapata uwezo wa ku host domain moja, disk space 50MB, bandwidth 2MB na premium DNS

Domain Names

Domain names zinazopatikana ni .tz (.co.tz .or.tz .go.tz .ac.tz .ne.tz .sc.tz .hotel.tz .info.tz .me.tz na .tv.tz). Nyingine ni .com .net .org .info .biz .us .de .es .tv .mobi .co.ug na .guide

Gharama za Domain Names kwa mwaka(Tsh)

.tz - 25,000
.ke - 52,000
.za - 56,000
.africa - 68,000
.com - 35,000
.net - 40,000
.org - 35,000
Nunua domain name kwa ajili ya website yako sasa

Huduma Nyingine

Huduma wanazotoa ni Web hosting, Reseller hosting, Cloud servers, G suite, Office 365, SSL Certificate, Website builder, Email Services, Website backup na SEO tools

Huduma kwa Wateja

Kwa msaada wa haraka tumia chat iliyopo katika tovuti yao chini kulia. Kupata kujifunza au kupitia maelekezo ya namna ya kutumia tembelea Knowledge base au unaweza fungua ticket Hapa
Namba +255 411 222 333 +255 22 2127641 +255 784 987363 +255 715 247365 +255 784 870811 +255 689 329229

Ofisi yao inapatikana 
1st Floor, Wing B,
Amverton Office Park,
Plot 64, Lugalo Street,
P. O. Box 75859,
Dar es Salaam,
Tanzania.
Shea katika mitandao:

Blog

Domain Names

Hosting

Hosting Review

Website

Andika Comment:

Comments 0 :

Acha comment yako hapa