Domain - Jina kwa ajili ya website au blog yako
Domain katika maswala ya teknolojia ni jina linalotambulisha website au blog fulani. Jina hilo linaweza kutajwa kama domain name.
Domain katika maswala ya teknolojia ni jina linalotambulisha website au blog fulani. Jina hilo linaweza kutajwa kama domain name. Mfano wa domain ni kama google.com au facebook.com
Domain au jina la tovuti hupatikana kwa kununuliwa au bure kulingana na mtoa huduma anayehusika. Majina yanayolipiwa ni yale yanayotumika kwa ajili ya biashara na mambo mengine yanayoendana. Mfano ni zile zinazoishia na .com, .org, .net, .co.tz na nyingine nyingi. Kama unahitaji kununua domain bonyeza HAPA kujua zaidi
Majina unayoweza kupata bure ni kama .tk, .ml, .ga na subdomains kama .blogspot.com na .wordpress.com

Andika Comment:
Comments 0 :
Acha comment yako hapa