Duhosting au Dudumizi ni kampuni inayotoa huduma ya hosting pamoja na domain name. Ofisi zake zinapatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam. Ni kampuni bora katika maswala ya hosting nchini Tanzania.
Faida/Ubora
- Njia nyingi za malipo ikiwemo kwa mitandao ya simu kama MPesa na TigoPesa
- Unaweza kulipa kwa cash
- Uhakika wa kuwa online kwa 99%
- Ina rank namba moja katika Google kwenye maswala ya Web design na Hosting
- Ipo katika kampuni tatu katika chati ya tzNIC
Hasara
Vifurushi havijaelezewa vya kutosha kuhusu huduma nyingine zinazopatikana/zisizopatikana
Gharama za Hosting kwa mwaka
Hosting inaanzia Tsh 40,000 kwa mwaka. Kwa kupitia hiyo utapata uwezo wa ku host domains bila kikomo, email accounts 5, disk space 1GB na bandwidth bila kikomo.
Domain Names
Domain names zinazopatikana ni .tz (.co.tz .or.tz .go.tz .ac.tz .ne.tz .sc.tz .hotel.tz .info.tz .me.tz na .tv.tz). Nyingine ni .com .net .org na .tv
Gharama za Domain Names kwa mwaka(Tsh)
Baadhi ya bei za domain names ni kama
.tz - 22,000
.com - 30,000
.net - 30,000
.org - 35,000
Huduma Nyingine
Huduma wanazotoa ni Web hosting, Reseller hosting, Bulk SMS, Proffesional Emails, Website redisign, tzNIC - WHMCS Integration, Pesapal (MPesa, TigoPesa, Visa) Integration, SMS Integration na SSL Certificate
Huduma kwa Wateja
Kwa msaada wa haraka tumia chat iliyopo katika tovuti yao chini kulia. Unaweza pia kufungua ticket Hapa
Namba ya simu 0768 816 728
Email - info@dudumizi.com
Ofisi yao inapatikana
2nd floor, Nyuki House,
Tegeta Nyuki,
Dar es Salaam,

Andika Comment:
Comments 0 :
Acha comment yako hapa